tfda_building_front.jpg

TFDA NA TBS Wakutana Kujadili Namna ya Kuboresha Huduma kwa Wananchi

Mkurugenzi wa mkuu wa TFDA, Bw. Hiiti B. Sillo akipongezana na Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Bw. Joseph B. Masikitiko mara baada ya kumaliza kikao cha kujadili namna bora zaidi ya kuhudumia wateja kilichofanyika katika ofisi za TFDA Makao Makuu, tarehe 28 Oktoba, 2015. For more information, Click here.

Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) yazindua mfumo wa kutoa Huduma Kidigitali (e-PORTAL) Tarehe 21-10-2015 katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena, Dar es Salaam

Picha ya pamoja ya Mgeni Rasmi, Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Mohammad Bakari (aliyekaa katikati) akiwa na washiriki, katika uzinduzi wa mfumo wa TFDA kutoa huduma ya vibali kwa njia ya mtandao (e-portal) uliofanyika tarehe 21/10/2015 katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam.
Group photo of the Guest of Honour, Chief Medical Officer, Prof. Mohammad Bakari (seated centre) with participants, during the launching of TFDA Online Application Systems (e-portal) at Serena Hotel, Dar es Salaam, on 21st October, 2015. For more information, Click here.

Mkurugenzi Mkuu wa TFDA afanya Ziara ya Kikazi katika Machinjio kwa Lengo la Kujionea Utekelezaji wa Maboresho ya Machinjio za Jijini Dar es Salaam


Mkurugenzi Mkuu wa TFDA Bw. Hiiti B. Sillo akitoa maelekezo kwa baadhi ya watendaji wa Halmashauri za Manispaa ya Kinondoni, Ilala na Temeke wakati wa ziara ya kikazi ya kujionea utekelezaji wa maboresho ya machinjio yaliyopo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwezi Septemba, 2015. Wengine kutoka kushoto ni Meneja wa TFDA Kanda ya Mashariki, Bw. Emmanuel Alphonce na katikati ni Mkaguzi wa TFDA, Dkt. Itikija Mwanga Taarifa zaidi bofya kichwa cha habari hapo juu.

Online Application Service

Importation and Exportation Permit application system.

To apply, Click here

User manual for assistance

Customer Support Contacts
1. Food:
    0743 110564
2. Drugs:
    0743 110974
3. Cosmetics:
   0743 110657
4. Medical Devices:
    0743 110375
5. Customer Care:
    0715 266644 / 0753 649019
6. Email Address: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Customer Registration Form for Identification Number

1. Tanzania Food and Drugs Authority (TFDA) wishes to inform its customers that, all permits for importation and exportation of food, medicines, cosmetics and medical devices, will be processed online through TFDA import and export portal. More Information

2. Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) inapenda kuwataarifu wateja wake kuwa, maombi yote ya vibali vya kuingiza nchini na kutoa nje ya nchi bidhaa za chakula, dawa, vipodozi na vifaa tiba, yatawasilishwa TFDA kwa njia ya mtandao (Online Import and Export Permits Application). Habari zaidi

Download TFDA Customer Registration form for Online Application (should be filled and submitted back to TFDA for Identification Number issuance)

Training on Medicine Evaluation and Registration

 A consortium of SoP-MUHAS and TFDA was recently awarded a designation as a Regional Centre of Regulatory Excellence (RCORE) in medicines evaluation and registration.

CLICK HERE TO DOWNLOAD THE APPLICATION DETAILS

Import and Export Control System - (TFDA Staff Only)

Adverse Drug Reactions (ADRs)

Have you suffered an adverse drug reaction? If so consult your healthcare provider.

Read more: Adverse Effects

Tanzania Clinical Trial Registry

Now you can register your Clinical Trial ( i.e. Protocol Registration ) online through the Tanzania Clinical Trial Registry (TzCTR).

To access Clinical Trials Registry: Click Here!